AD (728x90)

Tuesday, March 6, 2012

Ni muhimu kusherehekea siku ya kuzaliwa, inamtukuza Mungu

Mtumishi Conjester Mpanda akipokea kipande cha keki kutoka kwa dada martha Msyani wakati wa kusherehekea miaka ya kuzaliwa kwake martha ambaye pia ni muimbaji wa sauti ya kwanza katika kwaya ya hekima, Mungu na ashukuriwe kwa ukarimu wake

No comments:

© 2013 HEKIMA KWAYA MORAVIAN-KINONDONI . All rights resevered. Designed by Templateism