AD (728x90)

Thursday, March 29, 2012

Mungu awabariki watumishi kwa kazi nzuri shambani

Mungu mwenyewe anasema kuwa ukinitumia nitakuheshimu, Hongereni sana wakina dada wa Dodoma kwa kazi nzuri ya kumtangaza huyu Mungu mnayoifanya usiku na mchana, lazima mufahamu kuwa tumaini lipo na Mungu atawalipa kwa wakati msipozimia moyo

No comments:

© 2013 HEKIMA KWAYA MORAVIAN-KINONDONI . All rights resevered. Designed by Templateism