AD (728x90)

Friday, June 10, 2011

Hongereni sana mamajusi mko juu

Hii ni kwaya ya Mamajusi iliyopo katika mkoa wa Kilimanjaro eneo la Majengo, hakika ni moja kati ya kwaya zinazoshika kasi kwa Muda mrefu sana, hadi sasa sijawahi kuwakuta hawa jamaa wakiharibu na siku zote suluhisho na migogoro yao linaishia mezani, nadhani ipo haja ya kuifunza kwaya zetu kutoka katika hawa jamaa, mbarikiwe sana

No comments:

© 2013 HEKIMA KWAYA MORAVIAN-KINONDONI . All rights resevered. Designed by Templateism