AD (728x90)

Friday, May 6, 2011

UKIWA NA YESU MAMBO SHWARI

Mwimbaji maarufu wa nyimbo za injili Upendo Nkone akishambulia jukwaa wakati wa kumbukumbu ya kifo cha Yesu kristo, Nkone alipagawisha mbaya

1 comment:

Unknown said...

mungu akubariki mama yetu kwa kazi yako nzuri ya uimbaji hakika mungu hulipa na ataendelea kukutia moyo siku zote za maisha yako, big up sana

© 2013 HEKIMA KWAYA MORAVIAN-KINONDONI . All rights resevered. Designed by Templateism