AD (728x90)

Monday, May 23, 2011

SI SARAKASI HIZI NI STEP JAMANI

Kulia Ipyana kushoto Jackline wakiliongoza kundi la Hekima kwaya jukwaani ilikuwa safi na ilipendeza zaidi, mimi hapa nimevutiwa na step tu kama duniani tunancheza hivi mbinguni je, Mungu atubariki sisi sote

No comments:

© 2013 HEKIMA KWAYA MORAVIAN-KINONDONI . All rights resevered. Designed by Templateism