AD (728x90)

Monday, May 23, 2011

HUNIWEZI WEWE MIMI MKALI BANA

Haapa ni Jackline Kasisika aka mama Jemima akifanya kazi jukwaani huku Ipyana akijaribu kuziba pengo la kutoonekana alifunikwa, hawa jamaa bwana wanatisha sana jukwaani, kazi yenu ni njema Mungu aendelee kuwainua zaidi

No comments:

© 2013 HEKIMA KWAYA MORAVIAN-KINONDONI . All rights resevered. Designed by Templateism