AD (728x90)

Sunday, May 29, 2011

HATOKI MTU HAPA

Hekima kwaya ikiwajibika jukwaani vilivyo, ilikuwa njema sana maana Mungu wetu aalionekana.ashukuriwe Mungu atupaem mema ya nchi

4 comments:

Mbeya Moravian Town Choir said...

Mbarikiwe Wapendwa kwani kazi yenu si bure ipo siku Mungu atawaongezea Karama!

Anonymous said...

MUNGU NI MWEMA SANA NAAMINI LENGO LA KWAYA LITATIMIA BWANA AWABARIKI KWA UTMISHI WENU AMEN

agatharase said...

naam mnapendeza..barikiweni

Unknown said...

ahsante sana Mbeya Town Kwaya, na Aghatarase na mwingine, hakika ushauri wenu na baraka mnazotupa ni njema, sifa heshima na enzi zina Mungu wetu aliye mbinguni

© 2013 HEKIMA KWAYA MORAVIAN-KINONDONI . All rights resevered. Designed by Templateism