![]() |
| Joseph Samson na Jackline Kasisika wakiwaongoza wana Hekima kwenye maandamano kabla ya kuzindua Ushirika Mpya wa Sayuni |
![]() |
| Huyu ni mama Mwaipasi hakika tunabarikiwa naye sana kwa kazi yake nzuri, katika uzinduzi huo wakinamama wa Moravian Kinondoni hawakuwa nyuma, mbarikiwe sana wakinamama |
![]() |
| Hekima kwaya wakifanya vitu vyao |
![]() |
| Mchungaji Saul Kajura akimbariki mtumishi wa Mungu Mwnjilisti Ndefula la mkewe kuwa wainjilisti rasmi wa Ushirika huo |




No comments:
Post a Comment