AD (728x90)

Sunday, May 27, 2012

Vijana mnanguvu mtumikieni Mungu shambani mwake

Mchungaji wa Kanisa la Anglican ambaye pia ni  mkufunzi wa chuo cha St Max kilichopo jijini Dar es Salaam akihubiri katika sikukuu ya umoja ya vijana kanisa la Moravian ushirika wa Kinondoni, hakika tumemuona Mungu akituhudumia vilivyo.

No comments:

© 2013 HEKIMA KWAYA MORAVIAN-KINONDONI . All rights resevered. Designed by Templateism