AD (728x90)

Sunday, May 27, 2012

Hapa ni kazi tu, vijana Moravian Kinondoni wakitukunyika

Chezea Martha Shitindi wewe, yuleeeee mstari wa nyuma kabisa, huyu dada tunabarikiwa naye sana yeye ndiye injili yetu katika masuala ya kiroho tunapotaka kujisahau semina tukipunguza kasi mkesha aiseee dada martha Mungu akubarikiwa sana

Chezea vijana wenye nguvu wewe, embu angalia miafya hii si unauchokoza uchokozi kweli, hapa shetani hata afanyaje hawezi kufua dafu, Ni Joseph Samson aka baba Tinito, Mrs Eginga aka ReywaS na Dogo janja Catheren Mwandalima, tunabarikiwa sana na hawa majembe

Hii ndiyo overhead bana hapa ni kazi tu

No comments:

© 2013 HEKIMA KWAYA MORAVIAN-KINONDONI . All rights resevered. Designed by Templateism