![]() |
Si kwamba hapa wanamuomba kitu mto noo ni stepu jamani |
![]() |
kaeni tayari okey Goooooooooo |
![]() |
Kazi ikiendelea kanisana |
![]() |
Kutoka kushoto ni Martha Msyani, Adelina Mtafya, Bumi Peter, Mch.Conjester Mpanda na Nnosye Kasisika wakiwajibika vilivyo jukwaani, aiseee tulimuona Mungu akifanya kazi pamoja na sisi |
No comments:
Post a Comment