![]() |
Mtunza hazina wa umoja wa vijana kanisa la Moravian Kinondoni akiingia katika ukumbi wakati wa harusi yake iliyofanyika hivi karibuni |
![]() |
Nikwambie dadaangu acha tu nimempata wa kufanana na mimi, sijui nimpe nini mungu, eee Yesu bariki maisha ya ndoa yetu, hapa Rehema Ambokile akiteta jambo, umeonaeeee, aya bana |
![]() |
si pozi hili jamani ni furaha ya harusi, aiseee walibamba sana, mtaaa wote wa kiroho zaidi ulikubali |
No comments:
Post a Comment