AD (728x90)

Monday, June 6, 2011

Hii ndiyo nyumba ya ibada Moravian Kinondoni

Jamani hapa ndipo Hekima Kwaya wanapomuinua Yesu Kristo Mwana wa Mungu aliye hai kwa nyimbo na mapambio, tunamshukuru Mungu aliyetupa mahali hapa pa kuabudia, sifa shukurani na heshima zinayeye aliye Mbunguni

No comments:

© 2013 HEKIMA KWAYA MORAVIAN-KINONDONI . All rights resevered. Designed by Templateism