![]() |
| Sehemu ya vijana wa hekima kwaya wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kumaliza ibada ushirikani Kinondoni |
![]() |
| Wadada wa Hekima wakiwa katika picha ya pamoja, hakika tunabarikiwa sana na wadada hawa |
![]() |
| Haya sasa Joseph Luliko Lwakeghe Minga, Meniford pamoja na Chris wakiwa katika picha ya pamoja walipomaliza Ibada |
![]() |
| Hapa ni dada zetu Bumi Malema na Sekela Mwaipopo, kwa kweli tunamshukuru Mungu sana kwa ajili yao wamekuwa sehemu ya mafanikio katika kundi letu. |




No comments:
Post a Comment