AD (728x90)

Monday, February 6, 2012

Moravian Kinondoni kujenga kitega uchumi, ujenzi kuanza mwezi wa tisa

Mwenyekiti wa Jimbo Mch.Fumbo akiendesha ibada katika kanisa la Moravian usharika wa Kinondoni ambapo siku hiyo ilikuwa maalumu kwa ajili ya kuazimisha miaka 11 ya kufika katika eneo hilo na miaka 10 ya ujenzi

Wazee wakifuatilia kwa makini muenendo wa ibada

Mchungaji wa Usharika wa kinondoni Moravian aliyevaa Joho Israel Kabuka akiwa na Mch.Ndile aliyekuwa mwanzilishi wa ujenzi kanisani hapo

1 comment:

Unknown said...

kazi ilikuwa nzuri sana Mungu aendelee kuwaimarisha kimwili na kiroho

© 2013 HEKIMA KWAYA MORAVIAN-KINONDONI . All rights resevered. Designed by Templateism