AD (728x90)

Tuesday, January 17, 2012

Huduma ya Uimbaji yazidi kumchanganya Ibilisi shetani

Baadhi ya wanakwaya wa kwaya ya vijana Moravian mkoani Dodoma(Dodoma Moravian Town Choir)wakiwa wamepozi nje ya kanisa mara baada ya kumalizika kwa ibada.hakika Mungu wetu ni mwema kwani ameendelea kuifikisha injili yake ama neno lake hata sehemu ambazo hazikusadikiwa kufika, Eee Yesu tunakushuru.

Mungu awabariki watumishi kwa kazi nzuri mnayoifanya, tambueni kuwa mkimtumikia Mungu atawaheshimu, msikate tamaa kwani mtavuna kwa wakati msipozimia moyo

Aisee huyu jamaa anayewadizainia uniform mkali, mmependeza sana lazima kwaya ziige mfano ili kwaya zetu ziendelee kuwa bora katika mambo yote yaani kimwili na Kiroho, mbarikiwe sana

1 comment:

Unknown said...

mungu awabariki sana watumishi tunawatakia huduma njema

© 2013 HEKIMA KWAYA MORAVIAN-KINONDONI . All rights resevered. Designed by Templateism