AD (728x90)

Monday, August 22, 2011

Hongera Moses kwa kupata wa kufa na kuzikana, tunzaneni

Moses na Rehema wakiwa kanisani huku mpambe wa Bibi harusi akifanya kazi yake ipasavyo
Hekima kwaya pamoja na umoja wa vijana kanisa la Moravian Ushirika wa Kinondoni unawapongeza Moses Na Rehema kwa kufunga pingu za Maisha, tambueni kuwa tendo mlilolifanya ni takatifu na la kumpendeza Mungu. Pendaneni.nasi tunawaombea baraka za Mungu ziwe pamoja nanyi siku zote.Amen

No comments:

© 2013 HEKIMA KWAYA MORAVIAN-KINONDONI . All rights resevered. Designed by Templateism