AD (728x90)

Monday, July 18, 2011

Ichunge misingi 6 ya mafanikio:

Hii ndiyo misingi sita ya mafanikio, hakika ina nguvu ndani yake ni wewe tu kumaanisha kwa ukweli halisi na usiokuwa na mawazo mawili, embu jaribu uone kama Mungu hata fungua milango ya baraka, hii ni kwa mujibu wa mtumishi wake Mwamfupe Anyisile
1. Usimchukie mtu yeyote hata kama amekukosea sana.
2. Ishi maisha ya kawaida hata kama upo juu kimaisha.
3. Tarajia baraka hata kama kuna mambo magumu yanakusonga.
4. Toa kwa wingi hata kama wewe umenyimwa.
5. Onesha tabasamu hata kama moyo wako wavuja damu.
6. Usiache kuwaombea wengine ambao wamejisahau kuomba

No comments:

© 2013 HEKIMA KWAYA MORAVIAN-KINONDONI . All rights resevered. Designed by Templateism