Friday, May 6, 2011
KATIKA HILI HEKO RAIS KIKWETE
Mwishoni mwa mwezi uliopita Rais Jakaya Kikwete alikuwa mgeni rasmi kwenye tamasha la uimbaji maalumu kwa ajili ya kuadhimisha kumbukumbu ya kifo cha Yesu Kristo.katika tamasha hilo liliohudhuriwa na maelfu ya wato toka pande zote za jiji la Dar es Salaam liliwahusisha waimbaji wengi kutoka hapa nchini na nje ya nchi.hakika tulishuhudia uwepo wa mungu.mungu ibariki Afrika na Tanzania
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment