AD (728x90)

Thursday, May 26, 2011

AMANJA KATATU ,PWA,PWA,PWA, UMEONAEEEE

Hapa ni Mwalimu wa kwaya ya Mbezi Beach anayepiga makofi aka Mwaisa, huku yupo David Kalanja wakiwa ibadani siku ya kumuaga mchungaji huyo, sijui David anawaza nini hapa?

4 comments:

Mbeya Moravian Town choir said...

Aaah!huyu ni Seleman akipiga makofi pia ni kijana wetu au ni matunda ya MBEYA MORAVIAN TOWN CHOIR.

Unknown said...

Yes hakika tunamshukuru Mungu kwa ajili yake kwani tunaiona karama yake ikifanya kazi, nanyi tunaamini mnajisikia furaha na faharim kubwa, mubarikiwe

Mbeya Moravian Town choir said...

Amina wapendwa sababu hii ni karama aliyopewa hivyo ana kila sababu ya kuitumia kama Mungu alivyompa.

Unknown said...

tunabarikiwa sana na kipaji chake, mungu awabariki nanyi, sijaona picha zenu

© 2013 HEKIMA KWAYA MORAVIAN-KINONDONI . All rights resevered. Designed by Templateism